« Nimeandika haya yote ili ibaki iki kumbukwa, nikifikiria maelfu ya watu walioteswa kwa sababu ya mgogoro wa Congo.» Nick ELEBE
Nick ELEBE

Nick Elebe ma Elebe ni mwanasheria, mwandishi, mtunzi wa nyimbo, mume na baba, kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mwenye  kuwa na uzoefu wa kitaalamu zaidi ya miaka kumi na mbili katika utafiti, namna ya kuunda na kufanya Mipango yenye kuhusu Haki za Binadamu, namna ya kuwashirikisha Wananchi na pia namna ya kuwahudumia  Waathirika wa Ukiukaji wa Haki za Binadamu. Masomo ya Nick na kazi aliyofanya ilimsababisha kuelewa shida inayohusu mashtaka yanayohusu uhalifu yanayofanywa katika mazingira ya migogoro katika nchi yake ya asili. Kwa Idadi ya uhalifu wa ubakaji , ambazo zimefikia mamia ya maelfu ya waathirika. Ukubwa wa jambo hilo, pamoja na ufahamu wa athari zake katika muda mfupi, muda wa kati na  muda mrefu, ndio yanaonyesha sababu zake za kufwatilia masuala haya.

Nous rejoindre

Publications

  • 1 Current Contact
  • 2 Terminé